Kamari ni stress episode artwork

EPISODE · Apr 9, 2025 · 1H 37M

Kamari ni stress

from Men The Podcast · host Michael Baruti

Katika jamii inayomtazama mwanaume kama mhimili wa familia na mtafutaji mkuu wa riziki, changamoto za kiuchumi zimewasukuma wengi kutafuta njia mbadala za kujikimu. Moja ya njia hizo ni kamari.Lakini je, kamari ni suluhisho la kweli kwa changamoto za kiuchumi, au ni mtego mwingine unaozidi kudidimiza maisha ya wanaume wengi?Katika episode hii, tunachambua kwa kina ongezeko la michezo ya kubahatisha miongoni mwa wanaume wa Kitanzania. Tunaangazia sababu, athari, na uhalisia wa maisha yao baada ya kuingia katika mzunguko wa kamari.Tupo na Tumaini Maligana, mshauri wa michezo ya kubahatisha mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10, ambaye anatuongoza katika mjadala huu kwa maarifa, ushuhuda, na maonyo yenye msingi wa uhalisia wa maisha. Karibu usikilize, tafakari, na shiriki. #MenMenMenPodcast #KamariNaMaisha #ChangamotoZaMwanaume #UkweliWaKamari

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Apr 9, 2025

Embed this episode

NOW PLAYING

Kamari ni stress

0:00 1:37:18

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Men The Podcast?

This episode is 1 hour and 37 minutes long.

When was this Men The Podcast episode published?

This episode was published on April 9, 2025.

Can I download this Men The Podcast episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!