Kile Ulichopoteza Kinaweza Kukupeleka Kwenye Kusudi Lako! episode artwork

EPISODE · Aug 21, 2026 · 18 MIN

Kile Ulichopoteza Kinaweza Kukupeleka Kwenye Kusudi Lako!

from Neno la Leo

🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo kupitia 1 Samweli 9:6 tunaanza safari ya Sauli kwa tukio linaloonekana la kawaida kabisa. Punda wa baba yake wamepotea na Sauli anaondoka kwenda kuwatafuta. Lakini kile ambacho Sauli hajui ni kwamba wakati yeye anatafuta punda, Mungu anamwelekeza kuelekea kukutana na Samweli na kwenye hatua ambayo itabadilisha maisha yake kabisa.Neno la leo linatukumbusha kwamba si kila safari tunayopitia tutaielewa tunapoianza. Wakati mwingine tunadhani tunatafuta kitu kimoja kumbe Mungu anatumia safari hiyo kutupeleka kwenye jambo ambalo hatukulitarajia. Hata usumbufu, kuchelewa au jambo ambalo halikuwa katika mipango yetu linaweza kuwa sehemu ya njia ambayo Mungu anaitumia kutupeleka mahali fulani.Je, kuna jambo katika maisha yako leo ambalo halina maana kwako? Usiharakishe kuliona kama kupoteza muda. Sauli aliondoka nyumbani akitafuta punda waliopotea bila kujua kwamba Mungu alikuwa tayari amepanga kukutana kwake na Samweli. Wakati mwingine kile tunachokiita usumbufu, Mungu anaweza kuwa anakitumia kama direction kuelekea hatua inayofuata ya kusudi lake.Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Aug 21, 2026

Embed this episode

Ready to play

Kile Ulichopoteza Kinaweza Kukupeleka Kwenye Kusudi Lako!

0:00 18:53

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Neno la Leo?

This episode is 18 minutes long.

When was this Neno la Leo episode published?

This episode was published on August 21, 2026.

Can I download this Neno la Leo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!