EPISODE · Apr 9, 2026 · 19 MIN
Kua katika Neema na Kumjua Kristo
from Kiti cha Neema
2 Petro 317 Lakini ninyi, wapenzi wangu, mmekwisha jua jambo hili. Basi, muwe na tahadhari msije mkapotoshwa na makosa ya waasi, mkaanguka kutoka katika msimamo wenu imara. 18 Lakini endeleeni kukua katika neema na katika kumjua Bwana wetu na Mwokozi Yesu Kristo. Utukufu uwe kwake, sasa na hata milele! Amina.Waebrania 4:16Kwa hiyo basi, tusogelee kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupokee rehema na kupata neema ya kutusaidia wakati wa shida.
NOW PLAYING
Kua katika Neema na Kumjua Kristo
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
Jul 10, 2026 ·25m
Jul 9, 2026 ·43m
Jul 9, 2026 ·30m
Jul 9, 2026 ·58m
Jul 8, 2026 ·29m