Kumuheshimu Mungu ni Njia ya Kwenda Mbele! episode artwork

EPISODE · Aug 10, 2026 · 20 MIN

Kumuheshimu Mungu ni Njia ya Kwenda Mbele!

from Neno la Leo

🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo kupitia 1 Samweli 2:30 tunaingia katika simulizi ya familia ya Eli na kukutana na kanuni nzito kutoka kwa Mungu: “Wale wanaoniheshimu nitawaheshimu.” Wana wa Eli walikuwa na nafasi ya kuheshimiwa kama makuhani lakini walitumia nafasi hiyo vibaya na kuidharau kazi ya Mungu. Kupitia maisha yao tunajifunza kwamba mbele za Mungu cheo, nafasi au kuonekana wa kiroho hakutoshi. Kumheshimu Mungu kunaonekana katika namna tunavyoishi, tunavyotumia mamlaka tuliyopewa na maamuzi tunayofanya hata wakati hakuna anayetuona. Dunia inaweza kutupa heshima kwa sababu ya mafanikio yetu lakini kuna heshima nyingine inayotoka kwa Mungu mwenyewe. Je, maisha yetu yanamheshimu Mungu au tunataka Mungu atuheshimu wakati sisi hatumpi nafasi ya kwanza?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Aug 10, 2026

Embed this episode

Ready to play

Kumuheshimu Mungu ni Njia ya Kwenda Mbele!

0:00 20:28

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Neno la Leo?

This episode is 20 minutes long.

When was this Neno la Leo episode published?

This episode was published on August 10, 2026.

Can I download this Neno la Leo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!