EPISODE · Jul 6, 2026 · 15 MIN
Kuna Ukombozi katika Udhaifu: Safari ya Mwisho ya Samsoni.
from Neno la Leo
🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunahitimisha simulizi ya Samsoni kupitia Waamuzi 16:28–30. Baada ya kuanguka na kupoteza kila kitu, Samsoni alimrudia Mungu kwa moyo wa unyenyekevu na kumlilia kwa rehema. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba kuanguka si mwisho wa hadithi pale tunaporudi kwa Mungu kwa toba ya kweli. Mungu hubaki mwaminifu na anaweza kutimiza makusudi yake hata kupitia maisha yaliyovunjika. Je, kuna eneo katika maisha yako ambalo Mungu anakualika urudi kwake leo?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨
Embed this episode
Ready to play
Kuna Ukombozi katika Udhaifu: Safari ya Mwisho ya Samsoni.
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.