Kwa Nini Mungu Huacha Utaabike? Nini cha Kufanya? episode artwork

EPISODE · Jul 1, 2026 · 25 MIN

Kwa Nini Mungu Huacha Utaabike? Nini cha Kufanya?

from Neno la Leo

🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunatafakari Waamuzi 10:6–8 na 10:15–16. Waisraeli walipoanza kumwacha Mungu na kufuata miungu mingine, walivuna matokeo ya maamuzi yao. Lakini walipomrudia kwa toba ya kweli na kuacha kabisa yale yaliyowatenga naye, Mungu aliwaonyesha rehema na huruma zake. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba kuondoka kwa Mungu kuna gharama, lakini kurudi kwake kwa moyo wa kweli daima hufungua mlango wa neema na urejesho. Je, kuna eneo katika maisha yako ambalo Mungu anakualika urudi kwake leo?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jul 1, 2026

Embed this episode

Ready to play

Kwa Nini Mungu Huacha Utaabike? Nini cha Kufanya?

0:00 25:26

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Neno la Leo?

This episode is 25 minutes long.

When was this Neno la Leo episode published?

This episode was published on July 1, 2026.

Can I download this Neno la Leo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!