Let's keep it real, we need each other (Part 2) episode artwork

EPISODE · Aug 11, 2022 · 43 MIN

Let's keep it real, we need each other (Part 2)

from Men The Podcast · host Michael Baruti

Karibu katika sehemu ya pili ya mazungumzo yetu kuhusu mtoto wa kiume na majukumu yanayomkabili katika dunia inayopambania usawa wa kijinsia. Baada ya mazungumzo marefu katika sehemu ya kwanza, sehemu hii ya pili inajaribu kuona ni nini kifanyike ili kuweza kuleta huu usawa na nafasi ya mwanaume katika kulifanikisha hili. Lakini pia, je tunahitaji kubadili mbinu tunazotumia au inabidi tuboreshe hizi hizi zilizopo ili wanaume na wao wapate kushiriki kikamilifu? Rolland Malaba (Madenge) anamalizia sehemu ya pili ya maongezi haya pamoja na watayarishaji wa podcast hii, Michael Baruti na Nadia Ahmed

NOW PLAYING

Let's keep it real, we need each other (Part 2)

0:00 43:20

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Men The Podcast?

This episode is 43 minutes long.

When was this Men The Podcast episode published?

This episode was published on August 11, 2022.

What is this episode about?

Karibu katika sehemu ya pili ya mazungumzo yetu kuhusu mtoto wa kiume na majukumu yanayomkabili katika dunia inayopambania usawa wa kijinsia. Baada ya mazungumzo marefu katika sehemu ya kwanza, sehemu hii ya pili inajaribu kuona ni nini kifanyike...

Can I download this Men The Podcast episode?

Yes, you can download this episode by clicking the download button on the episode player, or subscribe to the podcast in your preferred podcast app for automatic downloads.
URL copied to clipboard!