EPISODE · May 10, 2026 · 41 MIN
LINK WITH : LATRICIA IAN | FASHION AND BEAUTY UNPLUGED
from Link With Podcast · host IAA MEDIA
In this episode of Link With, tunakaa chini na Latricia Ian kuzungumzia fashion na beauty beyond filters, beyond perfection.This is an unplugged conversation ambapo tunaangalia reality ya industry kutoka self-image, confidence, mpaka pressure ya ku-maintain certain standards kwenye social media.Inside this episode: The real meaning of fashion & beauty in today’s world Confidence vs validation unavaa kwa ajili ya nani? Social media pressure and unrealistic standards Personal branding kupitia muonekano Staying authentic in a highly visual industry : Latricia anashare experience yake kwenye fashion na beauty jinsi muonekano unavyoweza kufungua milango lakini pia kuleta pressure kubwa. Tunaongelea ukweli ambao wengi hawausimulii: insecurities, comparison, na safari ya kujikubali.Je, beauty ni confidence au ni pressure ya jamii? Na je, unaweza kuwa real kwenye dunia ya filters?: Fashion & beauty siyo tu kuhusu kuonekana vizuri — ni kuhusu kujitambua, kujiheshimu, na ku-present identity yako bila kupoteza uhalisia wako.Follow Link With for more real conversations. Share your thoughts na experience yako.
What this episode covers
In this episode of Link With, tunakaa chini na Latricia Ian kuzungumzia fashion na beauty beyond filters, beyond perfection. This is an unplugged conversation ambapo tunaangalia reality ya industry kutoka self-image, confidence, mpaka pressure ya ku-maintain certain standards kwenye social media. Inside this episode: The real meaning of fashion & beauty in today’s world Confidence vs validation unavaa kwa ajili ya nani? Social media pressure and unrealistic sta...
NOW PLAYING
LINK WITH : LATRICIA IAN | FASHION AND BEAUTY UNPLUGED
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
Mar 26, 2026 ·1m
Jan 2, 2026 ·47m
Dec 21, 2025 ·46m