EPISODE · Jun 27, 2025 · 6 MIN
“Maandamano ya Jumatano Yalipangwa Kimakusudi!” – Murkomen Afichua Mpango wa Siri.
from Wamuzi In The Talk · host William Musungu
Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen amedai kuwa maandamano ya Jumatano hayakuwa ya ghafla bali yalipangwa kwa makusudi na baadhi ya viongozi. Kauli yake imezua hisia kali huku wananchi wakitaka kufahamu waliopanga na kwa nini. Skiza Habari Zinginezo ndani ya Wamuzi Radio na Felix. #news #latestnews #wamuziradio #breakingnews #politics #maandamano
Embed this episode
Ready to play
“Maandamano ya Jumatano Yalipangwa Kimakusudi!” – Murkomen Afichua Mpango wa Siri.
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.