EPISODE · Feb 5, 2024 · 39 MIN
Mafundisho ya Biblia: Jumapili ya 1 kabla ya Kwaresima (1) || Yn 15, Upendo
from Wahubiri wa Neno Pod · host Mike Taylor
Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.Wiki hii ya Jumapili tarehe 11/2 ni Jumapili ya 1 kabla ya Kwaresima, ukurasa 88 katika kitabu cha sala. Kwenye hiyo podi tunafundisha Yohana 15:1–17 na Wazo Kuu la siku: Upendo. Masomo mengine tutayafundisha katika podi ifuatayo.Karibu. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
NOW PLAYING
Mafundisho ya Biblia: Jumapili ya 1 kabla ya Kwaresima (1) || Yn 15, Upendo
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
Apr 19, 2023 ·38m
Jan 19, 2023 ·32m
Dec 27, 2022 ·33m
Nov 6, 2022 ·42m
Oct 24, 2022 ·34m
Oct 2, 2022 ·43m