Wahubiri wa Neno Pod

PODCAST · religion

Wahubiri wa Neno Pod

Mafundisho ya Biblia juu ya vifungu vya kalenda kusaidia wahubiri wawe waaminifu katika kuhubiri neno la Mungu. mwalimumike.substack.com

  1. 84

    Wafilipi 4:1–9

    Karibu tujifunze neno la Mungu pamoja. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  2. 83

    Yesu alisema, Niamini Mimi

    https://youtube.com/shorts/LKLdxuUrNbo?feature=share This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  3. 82

    Wafilipi 3:12–21

    This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  4. 81

    Mungu aliupendaje ulimwengu?

    https://youtube.com/shorts/N5r6TJL6TJ0?feature=share This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  5. 80

    Wafilipi 3:1–11

    Karibu tujifunze neno la Mungu katika Wafilipi 3:1–11. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  6. 79

    Mwanadamu anaokolewaje?

    Karibu.#Efeso2:8.https://youtube.com/shorts/-ti-bNUDmkM This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  7. 78

    Toba na Kuomba msamaha

    Mafundisho ya Biblia juu ya toba na kuomba msamaha hasa sisi kwa sisi tunapomkosea mwingine. Karibu kusikia hapa au kutazama kwenye youtube. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  8. 77

    Wafilipi 2:17–30

    Karibuni tujifunze neno pamoja. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  9. 76

    Mungu Aliumba Nini?

    Jambo muhimu sana ni kuelewa uumbaji. Biblia inasema nini juu ya Mungu na kazi yake kuumba. Karibu tujifunze pamoja.Sikia hapa.Au tazama hapa kwenye youtube: This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  10. 75

    Wafilipi 2:12–17

    Kifungu hiki kinasema neno dhahiri juu ya swali muhimu sana, yaani, kwa namna gani tunaweza kuishi sasa, tukimpendeza Mungu? Karibu. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  11. 74

    Wafilipi 2:6–11

    Karibu tujifunze pamoja neno la Mungu.La kushangaza hapa ni unyenyekevu wa Bwana Yesu.Nasi tuwe na nia yake. Amen.Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  12. 73

    Jinsi Alivyo Mungu

    Mafundisho ya Biblia juu ya tabia na asili ya Mungu. Jinsi alivyo.Sikia hapa au tazama kwenye youtube. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  13. 72

    Kusameheana

    mafundisho ya Biblia juu ya kusameheana. sikia hapa au tazama kwenye youtube. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  14. 71

    Wafilipi 2:1–5

    Karibu tusome neno pamoja: Fil 2:1–5. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  15. 70

    Laana na Baraka

    Sikia hapa au tazama kwenye youtube. karibu. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  16. 69

    Wafilipi 1:27–30

    karibu tujifunze neno pamoja.Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  17. 68

    Je, kuna miungu mingapi?

    Mafundisho ya Biblia juu ya Mungu jinsi alivyo, Mungu mmoja katika nafsi tatu Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.Sikia hapa au tazama kwenye youtube… This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  18. 67

    Wafilipi 1:19–26

    Karibuni tujifunze pamoja neno la Mungu. Katika kifungu hiki kuna wazo la kustaajabu kwa vile ambavyo Paul alieleza Yesu ni muhimu sana si tu katika maisha yake bali pia kuliko maisha yake. Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  19. 66

    Nidhamu ya Kiroho

    Mambo ya maisha ya kikristo kumsaidia mtu kukua na kuendelea katika imani. sikia hapa. au tazama kwenye youtube. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  20. 65

    Tunawezaje Kumjua Mungu

    Mafundisho ya Biblia juu ya kumjua Mungu na mapenzi yake. Ni podcast ya sauti kwa video tuliyoiweka kwenye youtube.sikia hapa au tazama kwenye youtube. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  21. 64

    Kwa nini Injili ni Habari Njema?

    Ni mafundisho ya Biblia juu ya Injili na kwa nini in habari njema kwa wenye dhambi kama sisi. Ni podcast ya sauti kwa video tuliyoweka kwenye youtube. Sikia hapa au tazama kwenye youtube. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  22. 63

    Wafilipi 1:12–18

    Karibu tujifunze pamoja neno la Mungu.Mchungaji Mmasa na Mike. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  23. 62

    Imani na Maisha: Maombi

    Hiyo ni mafundisho ya Biblia juu ya maombi. Ni podcast ya sauti kwa ile video tuliweka kwenye youtube. Sikia hapa au tazama kwenye youtube.karibu. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  24. 61

    Wafilipi 1:1–11

    Karibu tujifunze neno pamoja katika Wafilipi 1:1–11.Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  25. 60

    Mafundihso ya Biblia: Majilio 2 || Luka 21:25–33

    karibu. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  26. 59

    Wagalatia (13) Gal 6:6–18

    Mambo tunayosikia katika neno ni pamoja na * kushirikisha mambo mema na walimu* kupanda na kuvuna kwa roho na sio mwili* kutenda mema kwa watu wote* jinsi ambavyo hofu na tamaa iliwaharibu walimu waongo na onyo kwetu* tofauti ya Paul aliyeishi kwa Kristokaribuni sana.Mchungaji Mmasa. Mwalimu Maiki. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  27. 58

    Mafundisho ya Biblia | Pentekoste 26 | 17Nov | Mathayo 5:13–16 | Ulinzi wa Mungu kwa Kanisa

    Karibu sana kusikia mafundisho ya Biblia kaitka Mathayo 5:13–16 juu ya kuwa chumvi na nuru, ahadi za Yesu na ulinzi wake kwa kanisa hadi siku ya mwisho. Mchungaji Mmasa. Mwalimu Maiki. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  28. 57

    Mafundisho ya Biblia | 10Nov | Pentekoste 25 | Luka 8:40–56 | Kuwekwa Huru

    Karibu tujifunze pamoja katika Luka 8 na wazo la kuwekwa huru. Maswali mawili muhimu: tuliwekwa huru kutoka nini? Tuliwekwa huru kwa ajili ya nini?Mwalimu Maiki. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  29. 56

    Maswali na Wagalatia 6v1to5

    Tunajibu swali tulilopata katika Gal 5 likiuliza kwa nini Wakristo wakiwa wanaongozwa na Roho bado kuna tatizo la kukosa na kutenda dhambi. Karibu. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  30. 55

    Mafundisho ya Biblia: JP 23 Nov Pentekoste 24 || Kuenenda katika Kweli || Marko 12

    Karibu tujifunze neno la Mungu. Tunaangalia somo kwa jumapili, Marko 12:13–17. Tunajifunza juu ya kuwa mtu wa kweli, na kumpa Mungu yaliyo ya kwake na Kaisari yaliyo ya kwake. Wajibu wa Mkristo wa kumtii Mungu na wajibu wa Mkristo wa kuitii serikali. Karibu. Mchungaji Mmasa, Mwalimu Maiki. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  31. 54

    Wagalatia (11) Gal 5:13–26

    Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 11, katika kifungu Gal 5:13–26. Hapa Paulo anafundisha juu ya kuenenda kwa Roho na sio mwili na kutumikianeni kwa upendo, akionyesha ndio namna ya kuwa wana huru wa Mungu kwa neema.karibu.Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  32. 53

    Mafundisho ya Biblia: Upatanisho || Pentekoste 23 || Mathayo 18:15–20

    Karibu tujifunze pamoja jambo la upatanisho: Moyo wa upendo wa Mungu atende kutupatanisha naye, maagizo ya Yesu ili tupatane sisi kwa sisi. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  33. 52

    Wagalatia (10) Gal 5:1–12

    Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 10, katika kifungu Gal 5:1–12. Hapa Paulo anaonyesha kuwa Kristo alituokoa ili tuwe huru, na kwa hivyo, kilicho muhimu sio kutarihiwa wala kutokutahiriwa, bali ni imani itendayo kazi kwa upendo. Pia na tunaeleza jambo muhimu sana juu ya imani ambavyo naamini itawafaidi wote wasikilize. karibu.Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  34. 51

    Mafundisho ya Biblia: Pentekoste 22 | Oct 20 | Vita Vya Kiroho | 2 Kor 10:1–11

    Karibu tujifunze neno la Mungu pamoja. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  35. 50

    Nani ni Mtawala wa Ulimwengu?

    Karibu tujifunze nini Biblia inachosema juu ya swali hili: nani ni mtawala wa ulimwengu. Watu wengi wanaogopa roho na pepo wakidhani kuwa wanatawala maisha yao, bali Mungu anatawala yote akiwa juu, na pia Mungu yu karibu kwa neema, akitujali na kutulinda. Karibu tujifunze pamoja! This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  36. 49

    Mafundisho ya Biblia: JP 13/10 Pentekoste 21 | Luka 14:16–24 | Utayari wa Kuitika

    Karibu tujifunze pamoja katika neno la Mungu. Katika kifungu hiki Yesu anatoa mfano wa ufalme kama karamu, na wengine walikataa mwaliko wa kuhudhuria. Hao watu walimkataa Yesu kuwa njia pekee ya wokovu. Lakini kwa kila atakayemwamini Yesu, hawatatahayarika kamwe. Mwalimu Maiki. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  37. 48

    Mtu anawezaje kuokolewa?

    Mungu alitupatia mwokozi Yesu. Yesu alimfufua kijana naye pia anatufufua sote wanaomwamini Yesu. Hatuwezi kufanya cho chote na wokovu sio kama kuhitimu shule, bali ni kwa mfano wa kufufuliwa. Yesu ni mwokozi anayetuokoa kabisa. Luka 7:11–15 | Waefeso 2:1–10. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  38. 47

    Mafundisho ya Biblia: Pentekoste 20 | 6/10 Wazo Kuu: Imani | Lk 5:17–26

    Karibu tujifunze neno pamoja. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  39. 46

    Wagalatia (9) Gal 4:21–31

    Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 9, katika kifungu Gal 4:21–31. Hapa Paulo anaonyesha kuwa sheria nayo inafundisha juu ya uhuru wa watoto wa Mungu walio wa ahadi na roho na imani.karibu.Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  40. 45

    Mafundisho ya Biblia: 29/9 Pentekoste 19 || Marko 12:28-31 || Wazo Kuu Kushinda Majaribu

    Karibu tujifunze pamoja neno la Mungu. Tunafafanua na kujadiliana neno la Mungu katika Marko 12:28-31 na kufundisha juu ya wazo kuu la siku la Pentekoste 19 yaani Kushinda Majaribu. Karibu na Mungu akubariki kwa neno lake.Mchungaji Mmasa | Mwalimu Maiki This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  41. 44

    Wagalatia (8): Gal 4:8–20

    Wagalatia (8): Gal 4:8–20Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 8, katika kifungu Gal 4:8–20. Hapa Paulo anaeleza zaidi uhuru wetu tukiwa wana wa Mungu.karibu.Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  42. 43

    Mafundisho ya Biblia: 22/9 Marko 13:9-17 | Wazo Kuu Matendo Mema

    Karibu tujifunze pamoja. Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  43. 42

    Wagalatia (7): Gal 3:23–4:7

    Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 7, katika kifungu Gal 3:23–4:7. Hapa Paulo anaeleza kusudi la sheria, anafurahia uzuri na uhuru katika kufanywa watoto wa Mungu na anazungumza juu ya kumvaa Kristo na kuwa mmoja katika Kristo.karibu.Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  44. 41

    Mafundisho ya Biblia: 15/9 Kanisa la Kristo || Mathayo 16:13–20

    Karibu kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Mathayo 16:13–20 na kanisa la Kristo ambalo aliahidi kulijenga.Tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.Wiki hii ni ya Jumapili tarehe 15/9.Karibu!Mchungaji Mmasa na Mwalimu Maiki. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  45. 40

    Mafundisho ya Biblia | JP 7 Julai | Marko 12:28-34 | Kumpenda Mungu kuliko vitu vyote

    Karibu sana ukasikilize mafundisho ya Biblia. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  46. 39

    Mafundisho ya Biblia: JP 30 Juni | Mathayo 10:34–42 WK Ushirika katika utume

    Karibu! This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  47. 38

    Mafundisho ya Biblia | 23 Juni | Mathayo 6:19-23 Kuzingatia Mambo Yadumuyo

    Karibu! This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  48. 37

    Mafundisho ya Biblia: 16/9 Mathayo 14

    karibu. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  49. 36

    Mafundisho ya Biblia: 9/6 Mathayo 22:1–14

    Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.Wiki hii ya Jumapili tarehe 9/6 ni Jumapili ya 3 baada ya Pentekoste, ukurasa 118 katika kitabu cha sala. Tutafafanua Mathayo 22:1–14 na Wazo Kuu la Utii wa Neno.Karibu! This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

  50. 35

    Wagalatia (6): Gal 3:15–22

    Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 6, katika kifungu Gal 3:15–22. Hapa Paulo anaonyesha tofauti baina ya sheria na ya ahadi za Mungu ambazo ni wokovu wetu tukimpokea Yesu kwa imani.karibu.Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa.Soma BibliaWagalatia 3:15–2215 Ndugu zangu, nanena kwa jinsi ya kibinadamu. Lijapokuwa ni agano la mwanadamu, hata hivyo likiisha kuthibitika, hakuna mtu alibatilishaye, wala kuliongeza neno. 16 Basi ahadi zilinenwa kwa Abrahamu na kwa mzao wake. Hasemi, Kwa wazawa, kana kwamba ni wengi, bali kana kwamba ni mmoja, Kwa mzao wako, yaani, Kristo. 17 Nisemalo ni hili; agano lililothibitishwa kwanza na Mungu, torati iliyotokea miaka mia nne na thelathini baadaye hailitangui, hata kuibatilisha ile ahadi. 18 Kwa maana urithi ukiwa kwa sheria, hauwi tena kwa ahadi; lakini Mungu alimkirimia Abrahamu kwa njia ya ahadi.19 Torati ni nini basi? Iliingizwa kwa sababu ya makosa, hadi aje huyo mzao aliyepewa ile ahadi; iliamriwa kwa utumishi wa malaika kwa mkono wa mjumbe. 20 Basi aliye mjumbe si mjumbe wa mmoja; bali Mungu ni mmoja. 21 Basi je! Torati haipatani na ahadi za Mungu? La hasha! Kwa kuwa, kama ingalitolewa sheria iwezayo kuhuisha, hakika haki ingalipatikana kwa sheria. 22 Lakini andiko limeyafunga yote chini ya nguvu ya dhambi, makusudi hao waaminio wapewe ile ahadi kwa imani ya Yesu Kristo. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

Mafundisho ya Biblia juu ya vifungu vya kalenda kusaidia wahubiri wawe waaminifu katika kuhubiri neno la Mungu. mwalimumike.substack.com

HOSTED BY

Mwalimu Mike, Mchungaji Mmasa

URL copied to clipboard!