Mahojiano na Mwanahabari/Mwanablogu Ndesanjo Macha episode artwork

EPISODE · Oct 29, 2006 · 25 MIN

Mahojiano na Mwanahabari/Mwanablogu Ndesanjo Macha

from Radio Butiama · host deus gunza

Teknolojia ya habari na mawasiliano imebadilisha jinsi binadamu tunavyoishi. Mabadiliko haya yamempa nguvu kubwa sana mtu wa kawaida. Leo hii watu wa kawaida wanaweza kumiliki vyombo vyao vya habari bila hata kulipia gharama kubwa. Mwanahabari na Mwanablogu Ndesanjo Macha(Pichani kulia akiwa na Issa Michuzi) anatuelezea vizuri juu ya dhana mpya ya uandishi wa raia. Je blogu ni nini? Nini faida za kuwa na blogu? Je Afrika tuna nafasi gani katika hii teknolojia mpya? Kiswahili kina nafasi gani? Sikiliza zaidi. Tembelea blogu ya Ndesanjo Macha: www.jikomboe.com

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Oct 29, 2006

Embed this episode

NOW PLAYING

Mahojiano na Mwanahabari/Mwanablogu Ndesanjo Macha

0:00 25:55

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Radio Butiama?

This episode is 25 minutes long.

When was this Radio Butiama episode published?

This episode was published on October 29, 2006.

Can I download this Radio Butiama episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!