EPISODE · Jan 14, 2007 · 35 MIN
Mahojiano na Mwanamitindo & TZ Goodwill Ambassador - Tausi Likokola
from Radio Butiama · host deus gunza
Tausi Likokola sio jina geni kwa wa-Tanzania wengi. Mwanamitindo huyu ameshafanya kazi na designers wakubwa kama GUCCI, Escada, Tommy Hilfiger, Christian Dior na Issey Miyake. Lakini Tausi hajaishia kwenye mitindo peke yake bali anafanya kazi kubwa kuisadia jamii aliyotoka. Je Tausi Likokola katokea wapi? Nini kilifanya aitwe Goodwill Ambassador wa Tanzania? Nini kilimuingiza kwenye mitindo? Je ana ushauri gani kwa wasishana wanaotaka kuwa wanamitindo kama yeye? Tembelea tovuti zake: www.TausiDreams.com , www.TausiAidsFund.org
Embed this episode
NOW PLAYING
Mahojiano na Mwanamitindo & TZ Goodwill Ambassador - Tausi Likokola
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.