EPISODE · Apr 3, 2020 · 22 MIN
Maombezi
from FUATA BIBLIA IKUONGOZE · host FUATA BIBLIA
Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Ana fundisha Kuusu Maombezi... 1Timotheo 2:1-3 Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; 2 kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu. 3 Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu; Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
Embed this episode
NOW PLAYING
Maombezi
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.