EPISODE · Aug 2, 2026 · 13 MIN
Maombi Yanaweza Kubadili Historia.
from Neno la Leo
🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunaendelea na simulizi ya Hana kupitia 1 Samweli 1:10–11. Akiwa na uchungu mkubwa moyoni, Hana hakukata tamaa wala hakulipiza kisasi kwa waliomdhihaki. Badala yake, alimimina moyo wake mbele za Mungu kwa maombi ya dhati na akaweka nadhiri ya kumrudishia Mungu kile ambacho angekipokea. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba Mungu husikia maombi yanayotoka katika moyo wa kweli, na anaweza kuyatumia kubadilisha si maisha yetu pekee bali hata historia ya vizazi. Je, tunampelekea Mungu maumivu yetu kwa imani, au tunabeba mizigo yetu peke yetu?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨
Embed this episode
Ready to play
Maombi Yanaweza Kubadili Historia.
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.