EPISODE · Dec 20, 2021 · 42 MIN
Meet the FPL Manager - Ipyana Itika | Scout | FPL Tanzania
from FPLTZ Podcast · host FPL Tanzania
Kwenye episode hii Godfrey na Eric wapo pamoja na FPL manager Ipyana Itika a.k.a Scout. Manager Ipyana anajivunia kuanzisha moja ya competitive mini league ya ‘Gaffers’ pamoja ya kuaminiwa na his fellow fpl managers kama scout. Ungana nasi kupata kusikia passion, dedication, fun and lessons learned from the ‘scout’ himself. FPL Manager profile: Team name: Havocks Top Rank: 690k Twitter: @Tanzania_FPL About Us: FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kumanage FPL teams). New episode ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano! Support Us: https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania Follow our accounts on: https://twitter.com/fpltanzania https://twitter.com/mkali_1 https://twitter.com/ericbaisi Code ya “FPL TANZANIA” mini league ni alsp78
Embed this episode
NOW PLAYING
Meet the FPL Manager - Ipyana Itika | Scout | FPL Tanzania
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.