EPISODE · Dec 5, 2021 · 45 MIN
Meet the FPL Manager - Pio Mulokozi | FPL Tanzania
from FPLTZ Podcast · host FPL Tanzania
Description Kwenye podcast hii Godfrey na Eric wapo pamoja na FPL manager Pio Mulokozi. Pio anajivunia kumaliza top 100k ndani ya misimu minne aliyoshiriki FPL. Ungana nasi kumsikia akitueleza mengi aliyojifunza na anayotarajia katika FPL Tanzania community. FPL Manager profile Team name: Fifty Shades Darker Top Rank: 92k Twitter: @champagnepiochi About Us FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kumanage FPL teams). New episode ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano! Follow our accounts on: https://twitter.com/fpltanzania https://twitter.com/mkali_1 https://twitter.com/ericbaisi Code ya “FPL TANZANIA - Clubhouse” mini league ni alsp78
What this episode covers

NOW PLAYING
Meet the FPL Manager - Pio Mulokozi | FPL Tanzania
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
Mar 26, 2026 ·1m
Jan 2, 2026 ·47m
Dec 21, 2025 ·46m