MTA S02 - KLINIKI YA BABA MAMA NA MTOTO.  episode artwork

EPISODE · Nov 27, 2023 · 4 MIN

MTA S02 - KLINIKI YA BABA MAMA NA MTOTO.

from Mending Thoughts Africa

KLINIKI YA BABA MAMA NA MTOTO.Karibu kliniki ya Baba, Mama na MtotoKliniki hii imekusudia zaidi kuangazia namna Mahusiano ya wazazi kabla, wakati na baada ya mtoto kuzaliwa yanavyoweza kuathiri Afya ya Akili ya Mtoto kwa siku za Usoni. Kadhalika tutaangazia vihatarishi na kadhia nyinginezo mtambuka ambazo kwa namna moja au nyingine zinawaweka watoto wetu katika hatari ya kupata changamoto za Afya ya Akili.Ni matumaini yetu kuwa utajifunza pamoja nasi na pia utachukuwa jukumu la kusambaza maarifa haya kwa kadiri utakavyoweza. Bilas haka wema wowote utakaoufanya utapata fungu lako. Inawezekana usiweze kumfikia kila mtoto ili umsaidia lakini kupitiwa maarifa haya unaweza kumgusa kila mtoto aliyezaliwa leo, jana na hata atakayezaliwa kesho.MTA S02 - FATHER MOTHER AND CHILD CLINIC. (TRAILER)Welcome to the Father, Mother and Child clinicThis clinic is more intended to highlight how the parents' relationships before, during and after the child is born can affect the mental health of the child in the future. Likewise, we will highlight risks and other cross-cutting issues that in one way or another put our children at risk of experiencing Mental Health challenges.It is our hope that you will learn with us and will also take responsibility for spreading this knowledge as much as you can. Bilas haka whatever good you do you will get your share. You may not be able to reach every child in order to help them, but through this knowledge you can touch every child born today, yesterday and even those born tomorrow.

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Nov 27, 2023

Embed this episode

Ready to play

MTA S02 - KLINIKI YA BABA MAMA NA MTOTO.

0:00 4:16

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Mending Thoughts Africa?

This episode is 4 minutes long.

When was this Mending Thoughts Africa episode published?

This episode was published on November 27, 2023.

Can I download this Mending Thoughts Africa episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!