MTA S02E02 - UKATILI WAKATI WA UTOTO NA AFYA YA AKILI PART 1 episode artwork

EPISODE · Nov 28, 2023 · 34 MIN

MTA S02E02 - UKATILI WAKATI WA UTOTO NA AFYA YA AKILI PART 1

from Mending Thoughts Africa

UKATILI WAKATI WA UTOTO NA AFYA YA AKILI.Watoto hawana lugha ya nzuri ya mawasiliano hasa ya kihisia, kadhalika hawana stadi nzuri za kutatua matatizo na changamoto mbali mbali. Wanapokabiliana na ukatili, eidha kwa kuhusishwa au kushuhudia kunahatarisha uwezo wao wa kusawazisha husia zao hata wanapokuwa watu wazima. Hali hii huharibu stadi za mawasiliano na mahusiano. Mjadala wetu utajikita kwenye kuonesha namna bora ya kumuepusha mtoto na majanga yatakayomuweka katika hatari ya kupata Changamoto za Afya ya Akili.CHILDHOOD VIOLENCE AND MENTAL HEALTH.Children do not have a good communication language, especially emotional ones, and they also do not have good skills to solve various problems and challenges. When they face violence, either by being involved or witnessing it, it jeopardizes their ability to balance their relationships even as adults. This condition destroys communication skills and relationships. Our discussion will focus on showing the best way to avoid the child from disasters that will put him at risk of getting Mental Health Challenges.

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Nov 28, 2023

Embed this episode

Ready to play

MTA S02E02 - UKATILI WAKATI WA UTOTO NA AFYA YA AKILI PART 1

0:00 34:10

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Mending Thoughts Africa?

This episode is 34 minutes long.

When was this Mending Thoughts Africa episode published?

This episode was published on November 28, 2023.

Can I download this Mending Thoughts Africa episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!