EPISODE · Jul 23, 2026 · 13 MIN
Mungu Anaweza Kufanya Zaidi ya Unavyoomba
from Neno la Leo
🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 2:15–16. Ruthu alienda shambani akitarajia kuokota mabaki ya nafaka, lakini Mungu alikuwa ameandaa zaidi ya alivyowaza. Kupitia Boazi, aliagizwa kuachiwa masuke makusudi ili kazi yake iwe nyepesi na mavuno yake yaongezeke. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba Mungu haishii kutujibu maombi yetu, bali mara nyingi hututangulia kwa neema yake, huwagusa watu, hufungua milango na kuondoa vikwazo ambavyo hatuvioni. Je, unatambua kwamba nyuma ya kila kibali na kila baraka katika maisha yako kuna mkono wa Mungu unaokutangulia?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨
Embed this episode
Ready to play
Mungu Anaweza Kufanya Zaidi ya Unavyoomba
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.