Mungu Hasahau Ahadi Zake! episode artwork

EPISODE · Jul 28, 2026 · 16 MIN

Mungu Hasahau Ahadi Zake!

from Neno la Leo

🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunaelekea katika kilele cha simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 4:13. Baada ya safari ndefu ya maumivu, kusubiri na uaminifu, Mungu anatimiza ahadi zake kwa kumjalia Ruthu ndoa, familia na mtoto wa kiume. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba Mungu hachelewi wala hawahi. Anapotimiza makusudi yake, hufanya zaidi ya yale tuliyokuwa tunatarajia na hubadilisha kipindi cha machozi kuwa ushuhuda wa neema yake. Je, bado unaendelea kumtumaini Mungu hata kama baadhi ya maombi yako yanaonekana kuchelewa kujibiwa?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jul 28, 2026

Embed this episode

Ready to play

Mungu Hasahau Ahadi Zake!

0:00 16:43

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Neno la Leo?

This episode is 16 minutes long.

When was this Neno la Leo episode published?

This episode was published on July 28, 2026.

Can I download this Neno la Leo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!