EPISODE · Aug 7, 2026 · 9 MIN
Mungu Hupima Moyo Wako na Sio Mafanikio Yako!
from Neno la Leo
🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunaendelea na wimbo wa Hana kupitia 1 Samweli 2:3. Baada ya Mungu kubadilisha maisha yake, Hana angeweza kutumia ushindi wake kuwajibu wale waliokuwa wamemdharau. Badala yake, anatukumbusha kwamba tusiseme kwa majivuno kwa sababu Mungu anajua yote na ndiye anayepima matendo ya mwanadamu. Kupitia maisha yake tunajifunza kutowadharau wengine kwa sababu ya hali wanayopitia leo wala kujiona bora tunapofanikiwa. Maisha hubadilika lakini Mungu ndiye anayejua mwanzo na mwisho wa kila mtu. Je, baraka na mafanikio yanapotufikia yanatufanya tuwe na kiburi au yanatufundisha kuwa wanyenyekevu zaidi mbele za Mungu na watu?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨
Embed this episode
Ready to play
Mungu Hupima Moyo Wako na Sio Mafanikio Yako!
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.