Mwanadamu Anapomwacha Mungu, Hugeuka Kama Mnyama! Hadithi ya Mlawi na Suria Wake. episode artwork

EPISODE · Jul 13, 2026 · 14 MIN

Mwanadamu Anapomwacha Mungu, Hugeuka Kama Mnyama! Hadithi ya Mlawi na Suria Wake.

from Neno la Leo

Leo kwenye Neno la LeoLeo tunaangalia hadithi ya Mlawi na suria wake kupitia Waamuzi 19. Sura hii ni mojawapo ya sehemu za kusikitisha zaidi katika Biblia, ikionyesha jinsi taifa la Israeli lilivyokuwa limefika mbali na Mungu. Kupitia hadithi hii tunajifunza kwamba jamii inapomwacha Mungu na kila mtu kufanya alichoona kuwa sawa machoni pake, maadili, haki na utu wa mwanadamu huanza kuporomoka. Je, tunamruhusu Mungu aendelee kutawala mioyo yetu, au tumeanza kuishi kwa viwango vinavyoamuliwa na ulimwengu?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jul 13, 2026

Embed this episode

Ready to play

Mwanadamu Anapomwacha Mungu, Hugeuka Kama Mnyama! Hadithi ya Mlawi na Suria Wake.

0:00 14:01

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Neno la Leo?

This episode is 14 minutes long.

When was this Neno la Leo episode published?

This episode was published on July 13, 2026.

Can I download this Neno la Leo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!