Mwanaume vs Talaka: Haki au Hadithi? episode artwork

EPISODE · Mar 25, 2025 · 1H 37M

Mwanaume vs Talaka: Haki au Hadithi?

from Men The Podcast · host Michael Baruti

Wanasema ndoa ni ndoto, lakini vipi ikiwa inageuka kuwa ndoto mbaya... na unaamka mahakamani? 😬Kuna hii dhana kwamba mwanaume asiye na pesa nyingi hana haki kwenye talaka, eti unapata tu "pole kaka" na siyo mgawanyo wa mali au haki juu ya watoto wako. Lakini kweli ipo hivyo? 🤔Katika episode hii ya Men Men Men, tunaketi na wakili Ashiru Lugwisa, anayevunja hii hoja vipande vipande na kutufundisha jinsi ya kutoachika vibaya (kama hiyo inawezekana 🤣).Sikiliza sasa! Kwanza ujue haki zako, halafu ndio uamue kama unataka ndoa au uwe bachelor wa maisha! 😅#MenMenMenPodcast #TalakaNaHaki #UsiachikeVibaya

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Mar 25, 2025

Embed this episode

NOW PLAYING

Mwanaume vs Talaka: Haki au Hadithi?

0:00 1:37:34

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Men The Podcast?

This episode is 1 hour and 37 minutes long.

When was this Men The Podcast episode published?

This episode was published on March 25, 2025.

Can I download this Men The Podcast episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!