EPISODE · Apr 3, 2020 · 39 MIN
Mwisho Wa Dunia Part 1
from FUATA BIBLIA IKUONGOZE · host FUATA BIBLIA
Pasta Apalale Ause ina fundisha katika kanisa la Eglise Famille de Diue. Mathayo 24:14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja. Matendo ya Mitume 2:17 Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
Embed this episode
NOW PLAYING
Mwisho Wa Dunia Part 1
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.