EPISODE · Oct 9, 2024 · 12 MIN
Nani ni Mtawala wa Ulimwengu?
from Wahubiri wa Neno Pod · host Mike Taylor
Karibu tujifunze nini Biblia inachosema juu ya swali hili: nani ni mtawala wa ulimwengu. Watu wengi wanaogopa roho na pepo wakidhani kuwa wanatawala maisha yao, bali Mungu anatawala yote akiwa juu, na pia Mungu yu karibu kwa neema, akitujali na kutulinda. Karibu tujifunze pamoja! This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
NOW PLAYING
Nani ni Mtawala wa Ulimwengu?
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
Feb 13, 2022 ·39m