EPISODE · Jul 21, 2026 · 20 MIN
Neema ya Mungu Hukutana na Wanaochukua Hatua
from Neno la Leo
🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 2:2–9. Ruthu hakukaa kusubiri muujiza bali alichukua hatua kwa imani na bidii. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba Mungu huwaongoza na kuwafungulia milango wale wanaotembea kwa uaminifu na kufanya sehemu yao. Je, kuna hatua ambayo Mungu anakualika uichukue leo kwa imani?
Embed this episode
Ready to play
Neema ya Mungu Hukutana na Wanaochukua Hatua
0:00
20:28
1×
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.
Frequently Asked Questions
How long is this episode of Neno la Leo?
This episode is 20 minutes long.
When was this Neno la Leo episode published?
This episode was published on July 21, 2026.
Can I download this Neno la Leo episode?
Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!