EPISODE · Aug 10, 2026 · 1H 13M
Nguvu ya Mawazo na Ulımı
from Pastor Neema Tony Osborn · host Pastor Neema Tony Osborn
Mawazo yetu yana nguvu kubwa katika namna tunavyoona maisha na kutekeleza kusudi la Mungu. Ujumbe huu unafunua umuhimu wa kujenga fikra sahihi na kutumia maneno yenye uzima katika safari ya imani. Utajifunza jinsi ya kuimarisha maisha yako kupitia mtazamo unaolingana na Neno la Mungu. Ruhusu akili yako ibadilishwe na nguvu ya kweli ya Mungu. Be a part of transforming lives around the world. Give today:https://pastortonyosbornministries.org/give
Embed this episode
Ready to play
Nguvu ya Mawazo na Ulımı
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.