Ni Mungu Pekee! episode artwork

EPISODE · Aug 1, 2026 · 10 MIN

Ni Mungu Pekee!

from Neno la Leo

🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunaanza simulizi ya Hana kupitia 1 Samweli 1:1–8. Hana alikuwa akipendwa sana na Elkana, lakini bado moyo wake ulikuwa umebeba maumivu ambayo hakuna mwanadamu angeweza kuyaponya. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba kuna mahitaji ya ndani ambayo hayawezi kutimizwa na upendo wa watu, mafanikio au mali, bali na Mungu pekee. Je, tunampelekea Mungu kilio cha mioyo yetu, au tunatafuta utimilifu katika vitu ambavyo haviwezi kujaza pengo la nafsi yetu?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Aug 1, 2026

Embed this episode

Ready to play

Ni Mungu Pekee!

0:00 10:23

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Neno la Leo?

This episode is 10 minutes long.

When was this Neno la Leo episode published?

This episode was published on August 1, 2026.

Can I download this Neno la Leo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!