EPISODE · Jul 2, 2026 · 15 MIN
Nini Cha Kufanya Wakati Mungu Anafanyia Kazi Maombi Yetu?
from Neno la Leo
🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunaanza simulizi ya Samsoni kutoka Waamuzi 13:3–5. Kabla hajazaliwa, Mungu alikuwa tayari amemchagua na kumwekea kusudi. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba Mungu anaweza kuleta mwanzo mpya pale ambapo wanadamu wanaona hakuna tumaini, na kwamba kila maisha yana kusudi mbele zake. Je, unaamini kwamba Mungu bado anafanya kazi katika maisha yako hata kama bado hujaona majibu?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨
Embed this episode
Ready to play
Nini Cha Kufanya Wakati Mungu Anafanyia Kazi Maombi Yetu?
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.