EPISODE · Apr 26, 2024 · 21 MIN
Nini kitatokea wakati nitakapofariki?
from Wahubiri wa Neno Pod · host Mike Taylor
Hilo ni la kwanza katika mfululizo wa maswali ya msingi. Karibu kututumia maswali yako. Tutajitahidi kutoa majibu ya maswali muhimu na ya msingi kwa mujibu wa Biblia. Swali hili linahusu jinsi ilivyo mauti na kama mfu aweza kuathiri maisha yetu, lakini hasa juu ya hukumu kwa sababu ya dhambi lakini pia na tumaini Mungu alilotupatia kwa ufufuo wa Yesu. Karibu tujifunze pamoja. Mwalimu Mike. Mchungaji Mmasa. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
NOW PLAYING
Nini kitatokea wakati nitakapofariki?
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
Apr 19, 2023 ·38m
Jan 19, 2023 ·32m
Dec 27, 2022 ·33m
Nov 6, 2022 ·42m
Oct 24, 2022 ·34m
Oct 2, 2022 ·43m