EPISODE · Feb 18, 2022 · 51 MIN
Nyinyi Ni Nuru Ya Ulimwengu | Mathayo 5:14-16 | Mchungaji Kabaria
from Trinity Baptist Church Donholm, Nairobi · host tbcnairobi
Mathayo 5:14-16 “Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji uliojengwa kilimani hauwezi kufichika. Wala watu hawawashi taa na kuifunika kwa bakuli. Badala yake, huiweka kwenye kinara chake, nayo hutoa mwanga kwa kila mtu aliyemo ndani ya ile nyumba. Vivyo hivyo, nuru yenu iangaze mbele ya watu, ili wapate kuona matendo yenu mema wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni."
Embed this episode
NOW PLAYING
Nyinyi Ni Nuru Ya Ulimwengu | Mathayo 5:14-16 | Mchungaji Kabaria
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.