Period!
First published
05/28/2021
Genres:
society
relationships
health
fitness
mental
education
Summary
Ever thought of what your period says about your health — like how often you get it, how long it lasts, and how heavy your flow is? All this can be different for every woman and some of them can offer clues to what's going on in your body. In this episode, our hosts share on why it is important to pay attention to your body.
Duration
6 minutes
Parent Podcast
Chini Ya Mbúyú
View PodcastSimilar Episodes
Sheria za kufanya nadhiri.
Release Date: 07/12/2023
Description: nimekuwa nikifikiria jinsi nafasi-hali katika nafasi ya nje, inavyoonekana sawa na dhambi. Katika nafasi ya nje hakuna hisia ya juu, chini, kulia au kushoto. Katika dhambi pia, hakuna maana ya juu, chini kulia au kushoto. Ili kudumisha hali ya mwelekeo huu, nyota au mwili wa sayari unahitajika. Na nyota ya mwili wa sayari, nguvu ya mvuto inahakikisha kuwa unajua ni upande gani ulio juu, chini, kulia au kushoto. Hivi ndivyo maandiko yanatuwezesha kuelewa vitu vilivyo juu, vitu vilivyo chini, na kushoto kwetu kutoka kulia kwetu. Karibu katika sehemu mpya kutoka kwa maandiko ambayo nitakuwa nikizungumza juu ya kutoa nadhiri na sheria zinazodhibiti kutoa nadhiri.
Explicit: No
EPISODE .1 title :MAFUNZO KUTOKANA NA JANGA LA CORONA
Release Date: 09/24/2020
Description: Nmezuru kaunti ya kajiado, kajiado ya kati ili kufahamu kwa upana zaidi kile watu walichojifunza kutokana na mkurupiko wa janga la corona chini
Explicit: No
Mambo yanayotupasa vijana.
Release Date: 04/18/2023
Description: Kama wewe ni kijana chini ya miaka 30 embu sikiliza haya na uyafanyie kazi.
Explicit: No
Junior Starlets Wafuzu kwa Kombe la Dunia la Wanawake Chini ya Miaka 17
Release Date: 06/18/2024
Description: Heko kwa Junior Starlets kwa kufuzu kushiriki Kombe la Dunia kwa wanawake chipukizi chini ya miaka 17. Historia iliyoje! Junior Starlets inakuwa timu ya kwanza kabisa ya Kenya ya kandanda kufuzu kwa Kombe la Dunia. Maandalizi ya kushiriki kombe hilo yaanze sasa.
Explicit: No
Similar Podcasts
CHINI YA ZULIA
Release Date: 04/26/2022
Authors: Bonventure Inyangala
Description: Makala yanajaribu kuelezea sakata inayoendelea kwenye klabu ya Manchester united pamoja na Chelsea. Kwenye ligi kuu uingereza.
Explicit: No
DONDOO ZA KODI
Release Date: 06/18/2021
Authors: Filbert Richard Augusti
Description: Karibu kujifunza kuhusu mambo mbalimbali ya kuhusu kodi kwa ujumla chini ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ukiwa na Filbert PRESIDENT UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM TAX ASSOCIATION (UDTA).
Explicit: No
Chini ya Maji Media
Release Date: 08/13/2020
Authors: Impact Africa Network
Description: A podcast covering the African startup ecosystem; the players, dynamics, trends and stories
Explicit: No
Kontrola Podcast
Release Date: 04/05/2021
Authors: Kejani 254
Description: Kontrola Podcasts is home to eclectic, chini ya waba (alternative/underground) sounds that are not on your daily mainstream playlists and an audio wiki to African music
Explicit: No
MAELEZO PODCASTS
Release Date: 04/30/2021
Authors: Maelezo Podcasts
Description: Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, Mipango na Miradi ya Maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya sera na sheria za habari.
Explicit: No
MAELEZO PODCASTS
Release Date: 03/25/2022
Authors: Tanzania Information Services Department, Habari-MAELEZO
Description: Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya Sera na Sheria za habari.
Explicit: No
OSHA Podcasts
Release Date: 09/24/2021
Authors: OSHA Tanzania
Description: Sikiliza OSHA PODCASTS kutoka kwa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA).OSHA ni Taasisi ya Serikali iliyo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu Kazi, Ajira, Vijana na wenye Ulemavu, yenye jukumu la kusimamia masuala ya usalama na afya mahali pa kazi Tanzania bara.Katika ukurasa huu utapata fursa ya kujifunza mambo mbalimbali kuhusu usalama na afya mahali pa kazi kupitia mfululizo wa vipindi vya KAZI SALAMA MAISHA SALAMA kwa njia ya sauti.
Explicit: No
Radio Maria Tanzania
Release Date: 09/04/2020
Authors: Radio Maria Tanzania
Description: Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio Maria Italia, Radio Maria nyingine iliibuka Amerika (kuanzia na Peru), Afrika (kwanza Burkina Faso), sehemu nyingine za Ulaya… na hivyo Familia ya Ulimwengu ya Radio Maria ilizaliwa mnamo Juni 1998, na kuwa NGO inayotambuliwa na UN, yenye makao makuu ya kisheria huko Roma. Madhumuni yake ni kuendeleza mradi wa kimisionari, kujibu maombi yanayotoka katika maeneo yote ya dunia, kuhakikisha uhalisi wa chapa, kutoa usaidizi wa kiufundi kwa RM zote, na kukuza mabadilishano na usaidizi kati ya kila redio.Familia ya Ulimwengu inadumisha mahusiano ya mara kwa mara ya taarifa na Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Kijamii la Kiti Kitakatifu
Explicit: No
INUA JAMII PROGRAM -KCB BANK PORT VICTORIA
Release Date: 11/09/2021
Authors: Bulala 107.5 FM Community Radio
Description: AFUENI KWA FAMILIA MAHIJAI MAALUMWizara ya Utumishi wa Umma, Jinsia, Masuala ya Wazee na Mipangilio Maalum imeanzisha mpango wa usajili wa uhawilishaji fedha wa Inua Jamii unao lenga Wazee (miaka 70 na Zaidi), Watu Wanaoishi na Ulemavu na Watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu katika ofisi zao Budalang'i.Ikumbukwe kuwa huu ni mpango mpya ambao unawalenga wale wanao sajiliwa kwa mara ya kwanza na wale walionufaika hapo awali, kwa hivyo wanainchi ambao wako chini ya vikundi vilivyo tajwa kujitokeza kwa wingi ilikusajiliwa.Benki (KCB) tawi la Port Victoria ni baadhi ya Benki ambazo zimepewa kandarasi,Watakao nufaika watapokea pesa zao baada ya kufungua akaunti nao.
Explicit: No
Pepo na Moto 16
Release Date: 04/22/2022
Authors: Yasini Twaha Hassani
Description: Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa neema za Peponi ni mito inayopita chini yake, pia imezungumzia msamaha watakao pewa na Allah watu wa Peponi.
Explicit: No