Promo S02 EP02 - Zifahamu faida za ujirani mwema zitokanazo na uhifadhi kwa jamii  episode artwork

EPISODE · Jul 28, 2026 · 1 MIN

Promo S02 EP02 - Zifahamu faida za ujirani mwema zitokanazo na uhifadhi kwa jamii

from TANAPA PODCAST

Jamii zinazozunguka Hifadhi za Taifa zinanufaikaje na uhifadhi? Sikiliza simulizi na uzoefu wa wadau wa uhifadhi kuhusu namna ujirani mwema unavyochangia maendeleo ya wananchi na uhifadhi endelevu.TANAPA Podcast – Msimu wa 2 | Episodi ya 02Mwongoza kipindi: Happiness Sam (Afisa Uhifadhi Daraja la Pili)Wageni:• Lameck Matungwa – Afisa Uhifadhi Mwandamizi, Kitengo cha Ujirani Mwema, Hifadhi ya Taifa Milima Mahale• Rose Machange – Mwenyekiti, Kikundi cha Umoja wa Maendeleo Ngurdoto (UMANGU)Eneo: Arusha Inatoka: Jumatatu, 03 Agosti 2026Usikose kufuatilia TANAPA Podcast kupitia YouTube Music, Spotify, Apple Podcasts, Amazon Music na majukwaa mengine zaidi ya 30 duniani.TANAPA PODCAST – Hifadhi Zetu, Sauti Yetu.

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jul 28, 2026

Embed this episode

Ready to play

Promo S02 EP02 - Zifahamu faida za ujirani mwema zitokanazo na uhifadhi kwa jamii

0:00 1:45

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of TANAPA PODCAST?

This episode is 1 minute long.

When was this TANAPA PODCAST episode published?

This episode was published on July 28, 2026.

Can I download this TANAPA PODCAST episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!