EPISODE · Aug 3, 2026 · 48 MIN
S02 EP02 - Ujirani Mwema na Faida Zake kwa Jamii
from TANAPA PODCAST
Katika episodi hii utasikia simulizi, uzoefu na ushuhuda kutoka kwa wataalamu wa uhifadhi pamoja na wanufaika wa programu za ujirani mwema, wakieleza namna uhifadhi unavyochangia maendeleo ya wananchi na ustawi wa jamii.Eneo: ArushaMwongoza Kipindi:Afisa Uhifadhi Daraja la Pili, Happiness SamWageni: Afisa Uhifadhi Mwandamizi Lameck Matungwa – Kitengo cha Ujirani Mwema, Hifadhi ya Taifa Milima Mahale Rose Machange – Mwenyekiti, Kikundi cha Umoja wa Maendeleo Ngurdoto (UMANGU)Tazama sasa kupitia YouTube na usisahau ku-like, ku-comment, kushare na ku-subscribe ili usipitwe na episodi zijazo.TANAPA PODCAST – HIFADHI ZETU, SAUTI YETU.
Embed this episode
Ready to play
S02 EP02 - Ujirani Mwema na Faida Zake kwa Jamii
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.