Safari ya Ruth! Kutoka Machozi Hadi Ukoo wa Mfalme! episode artwork

EPISODE · Jul 31, 2026 · 18 MIN

Safari ya Ruth! Kutoka Machozi Hadi Ukoo wa Mfalme!

from Neno la Leo

🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunahitimisha kitabu cha Ruthu kupitia Ruthu 4:16–22. Naomi, ambaye aliwahi kurudi Bethlehemu akiwa amevunjika moyo na kujiona hana tumaini, sasa amembeba Obedi mikononi mwake. Mungu alikuwa amegeuza maombolezo yake kuwa furaha na kuandika historia mpya ambayo haikuishia kwake pekee. Kupitia Obedi alizaliwa Yese, akazaliwa Mfalme Daudi na hatimaye Yesu Kristo, Mwokozi wa ulimwengu. Kupitia hitimisho hili tunajifunza kwamba Mungu ni Mungu wa urejesho, wa ahadi na wa vizazi. Anachukua maisha yaliyovunjika na kuyafanya sehemu ya mpango wake mkuu. Je, tunaamini kwamba Mungu anaweza kugeuza simulizi la maisha yetu na kutumia uaminifu wetu wa leo kubariki vizazi vijavyo?Karibu tusikilize, tutafakari na kuhitimisha pamoja safari yetu ya kitabu cha Ruthu. 🙏📖✨

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jul 31, 2026

Embed this episode

Ready to play

Safari ya Ruth! Kutoka Machozi Hadi Ukoo wa Mfalme!

0:00 18:28

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Neno la Leo?

This episode is 18 minutes long.

When was this Neno la Leo episode published?

This episode was published on July 31, 2026.

Can I download this Neno la Leo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!