Sehemu ya Kumi na Tisa episode artwork

EPISODE · Oct 3, 2020 · 17 MIN

Sehemu ya Kumi na Tisa

from ONGEA · host ONGEA

Mambo vipi rafiki? Karibu kusikiliza sehemu ya kumi na tisa ya kipindi cha ONGEA. ONGEA ni Kijiwe rafiki kwa vijana, wa kike na wa kiume, wanafunzi na wazazi pia.  ONGEA ni tamthilia ya redio inayohusisha maisha ya vijana (katika uhusika tofauti tofauti) wenye Umri wa rika balehe kati ya miaka 15-19 Pamoja na Wazazi/walezi wao.  Vipindi hivi vya Ongea vimeandaliwa na Tume ya kudhibiti ukimwi Tanzania (TACAIDS) na Tume ya kudhibiti ukimwi Zanzibar (ZAC) kwa kushirikiana na UNICEF, pamoja na wadau wengine.  Kipindi cha ONGEA Kinawafikishia vijana taarifa sahihi, Ujumbe sahihi kuhusu VVU/UKIMWI, Afya ya Uzazi, Lishe bora, Stadi za Maisha , Usafi wa Hedhi na Mimba za utotoni. Usipitwe na uhondo huu. Ungana nasi katika mitandao ya kijamii Instagram: https://www.instagram.com/ongearadioprogramme/ Twitter: https://twitter.com/ongea_radio Facebook: https://web.facebook.com/OngeaRadioProgramme/ TikTok: https://vm.tiktok.com/JjgBxXp/  WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/ICZUIJg4qxRFGCIqOZ8RSs #ONGEA #PimaVVU #TumiaKinga #TimizaMalengoYako

NOW PLAYING

Sehemu ya Kumi na Tisa

0:00 17:04

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

Ongea Na Sauti Podcast Ongea Na Sauti Podcast Karibu sana kwenye ongea na Sauti Podcast, hii ni podcast ambayo utapata vitu vingi vinavyohusu taarifa yaani habari. Iwe burudani pamoja elimu.. follow sasa Ongea na rahiya Ongea na rahiya Ebuteli et le Groupe d’étude sur le Congo (GEC0 organisent, dans les différentes provinces du pays, des forums publics sur des questions relatives à la participation citoyenne et à la redevabilité. Ongea na rahiya, parler, échanger avec le peuple, en swahili, revient sur ces forums publics organisés sous forme d’un débat enregistré. Ce dernier est également diffusé sur les réseaux sociaux et/ou sur les radios communautaires.Hébergé par Ausha. Visitez ausha.co/fr/politique-de-confidentialite pour plus d'informations. Ongea na Coach Makirita Amani's show Dr Makirita Amani Ongea na Coach Makirita Amani ni mafunzo kwa njia ya sauti yanayotolewa na Kocha Makirita Amani, ambaye ni mwandishi, mjasiriamali na kocha wa mafanikio.Sikiliza vipindi hivi kujifunza na kuchukua hatua ili uweze kufanikiwa.Pia tembelea www.amkamtanzania.com na www.kisimachamaarifa.co.tz ili kujifunza zaidi.Karibu sana. Ongea Kiswahili With Witangilas christelle witangila This podcast is going to help you learn Swahili in an easy simple and fun way. We all want to learn while having fun and learning a new language can be a struggle but we are here to help you learn Swahili language while having fun and enjoying yourself. This Swahili will consist of both Tanzania, Kenya and congo Swahili.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of ONGEA?

This episode is 17 minutes long.

When was this ONGEA episode published?

This episode was published on October 3, 2020.

What is this episode about?

Mambo vipi rafiki? Karibu kusikiliza sehemu ya kumi na tisa ya kipindi cha ONGEA. ONGEA ni Kijiwe rafiki kwa vijana, wa kike na wa kiume, wanafunzi na wazazi pia.  ONGEA ni tamthilia ya redio inayohusisha maisha ya vijana (katika uhusika tofauti...

Can I download this ONGEA episode?

Yes, you can download this episode by clicking the download button on the episode player, or subscribe to the podcast in your preferred podcast app for automatic downloads.
URL copied to clipboard!