Shairi: Jibwa Litaniumia Toto episode artwork

EPISODE · Mar 20, 2023 · 3 MIN

Shairi: Jibwa Litaniumia Toto

from Ushairi wa Mwanagenzi · host Kimani wa Mbogo

Sijui kama unamfahamu vema jirani yako au mtu mnayeshirikiana naye kwa karibu mno. Na suala la "Nyumba Kumi"  linapotajwa sijui linaibua hisia gani kwenye fikra zako. Baadhi ya watu tunaoishi pamoja, huenda wasikufae kwa chochote au lolote. Wengine watakutumia, wakunongeshe na kukudhalilisha, hasara kwako. Wengine ni wanafiki wasio na utu, wasiokutendea lolote la hisani. Hata kama utamwamini aliye karibu nawe, usimtegemee wala ukadhani ni malaika kwako. Hili halimaanishi wewe usimtendee wema. Tenda wema nenda zako.Shairi lifuatalo linaelezea kwa kina suala hili. Mhusika anahofia kwamba mtoto wake ataumwa na jibwa la jirani. Hili lalinganishwa na maovu anayoweza kufanyiwa na jirani yake. Ni shairi linaloonya kuhusu ushirikiano wako na jirani au mwandani wako wa karibu. Linamfahamisha hatari zinazomkabili kuwa na jirani asiye na matendo mema.

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Mar 20, 2023

Embed this episode

Ready to play

Shairi: Jibwa Litaniumia Toto

0:00 3:38

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Ushairi wa Mwanagenzi?

This episode is 3 minutes long.

When was this Ushairi wa Mwanagenzi episode published?

This episode was published on March 20, 2023.

Can I download this Ushairi wa Mwanagenzi episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!