EPISODE · Mar 20, 2024 · 33 MIN
‘Shujaa wa Usawa wa Kijinsia'Ufeminisia, Railimali na Bajeti za Kijinsia’Mary Rusimbi
from Discovering Africa Thru' Technology · host Raziah Mwawanga
Mary Rusimbi Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Nendiwe Feminist Wellness and Coaching Center Kutana na Mary Rusimbi Gwiji na Mtaalam wa Jinsia na Bajeti za Jinsia Tanzania, Mmoja wa waanzilishi/Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania(Tanzania Gender Networking Programme) TGNP Mvumbuzi, Mbunifu, Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Kwanza wa Mfuko pekee wa Ruzuku kwa wanawake Tanzania – Tanzania Women Fund (Women Fund Tanzania Trust) mfuko wa kwanza wa Kifeministi wa Kitaifa wa ruzuku wenye ajenda ya kuwekeza katika rasilimali kwa wanawake , wasichana na haki za Watoto Tanzania. Je unajua Tanzania ilikua nchi ya tatu Afrika katika mafanikio ya kutengeneza bajeti za Kijinsia? Na ilikuwa imefanikiwa na kwenda kwa kasi kubwa kuongeza usawa wa jinsia kwenye mapendekezo ya katiba mpya pamoja na kuongeza asilimia 50 ya wanawake katika uongozi. Usawa wa jinsia unawezekana kwa kuendeleza harakati zilizoanzishwa sio kufautilia mipango na malengo ya jumla yanarudisha nyuma maendeleo https://nendiwewellness.com/ https://wftrust.or.tz/ https://tgnp.or.tz/ Follow us on Twitter: @discoverAfrDATT Instagram:@discoverAfrDATT Facebook:discoverAfrDATT LinkedIn:@discoverAfrDATT Email: [email protected]
Embed this episode
Ready to play
‘Shujaa wa Usawa wa Kijinsia'Ufeminisia, Railimali na Bajeti za Kijinsia’Mary Rusimbi
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.