‘Shujaa wa uwekezaji katika Uchumi ‘Sauti ya Mwanamke Sokoni’ Jane Magigita episode artwork

EPISODE · Mar 18, 2024 · 37 MIN

 ‘Shujaa wa uwekezaji katika Uchumi ‘Sauti ya Mwanamke Sokoni’ Jane Magigita

from Discovering Africa Thru' Technology · host Raziah Mwawanga

Je unajua umuhimi na uwezo mkubwa uliokuwepo kiuchumu kama serikali ingetambua,dhamini na kuwekeza katika wanawake wasikuwa kwenye sekta rasmi ya wanawake masokoni.  Kutana na Jane Magigita Mkurugenzi wa Equality for Growth na Mvumbuzi, Mbunifu wa 'Sauti ya Wanawake Sokoni'. Mwanasheria, Mtetezi wa Haki za Wanawake na Haki za Jinsia pamoja na Mwezeshaji wa Sekta isiyorasmi akifafanua uzoefu wake kuhusu umuhimu wa kundi lisilotambulika, lililosahaulika (WANAWAKE SOKONI)na mchango wake katika uchumi wa Tanzania pamoja na umuhimu wa kuwekeza kwao kwa kuwatambua na kuwarasimisha.   Equality for Growth https://efg.or.tz/ Facebook: equalityforgrowth/ Instagram:equalityforgrowth/ Twitter@equalityforgrowth #SautiyaMwanamkesokoni #mperizikisimatusi #vitendawilivyacorona #simulizizawanawakesokoni   Follow us on Twitter: @discoverAfrDATT Instagram:@discoverAfrDATT Facebook:discoverAfrDATT LinkedIn:@discoverAfrDATT Email: discoveringafricaDATT

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Mar 18, 2024

Embed this episode

NOW PLAYING

 ‘Shujaa wa uwekezaji katika Uchumi ‘Sauti ya Mwanamke Sokoni’ Jane Magigita

0:00 37:32

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Discovering Africa Thru' Technology?

This episode is 37 minutes long.

When was this Discovering Africa Thru' Technology episode published?

This episode was published on March 18, 2024.

Can I download this Discovering Africa Thru' Technology episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!