Simulizi ya Debora: Je, Hofu Inakuzuia Kutimiza Kusudi la Mungu? episode artwork

EPISODE · Jul 7, 2026 · 20 MIN

Simulizi ya Debora: Je, Hofu Inakuzuia Kutimiza Kusudi la Mungu?

from Neno la Leo

🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunaanza simulizi ya Debora kupitia Waamuzi 4. Mungu anamwinua Debora kuwa nabii na mwamuzi wa Israeli, huku akimwita Baraka kwenda vitani. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba Mungu hutimiza makusudi yake hata pale ambapo watu wake wanapambana na hofu na mashaka. Ushindi haupatikani kwa uwezo wetu bali kwa kumtii Mungu na kuamini ahadi zake.Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jul 7, 2026

Embed this episode

Ready to play

Simulizi ya Debora: Je, Hofu Inakuzuia Kutimiza Kusudi la Mungu?

0:00 20:24

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Neno la Leo?

This episode is 20 minutes long.

When was this Neno la Leo episode published?

This episode was published on July 7, 2026.

Can I download this Neno la Leo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!