EPISODE · Jul 8, 2026 · 21 MIN
Simulizi ya Ehudi: Vipi Kama Udhaifu Wako Ndiyo Silaha Yako?
from Neno la Leo
🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunaanza simulizi ya Ehudi kupitia Waamuzi 3:12–30. Mungu alimwinua mtu ambaye wengi wasingemchagua kuwa mkombozi wa Israeli. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba Mungu mara nyingi hutumia kile ambacho dunia hukiona kuwa udhaifu ili kutimiza makusudi yake. Je, inawezekana kwamba kile unachokiona kama udhaifu wako ndicho ambacho Mungu anataka kukitumia kuleta ushindi katika maisha yako?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨
Embed this episode
Ready to play
Simulizi ya Ehudi: Vipi Kama Udhaifu Wako Ndiyo Silaha Yako?
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.