EPISODE · Jul 13, 2026 · 45 MIN
SO2 EP 01: FAHAMU ELIMU YA UJIRANI MWEMA NA FAIDA ZAKE KATIKA UHIFADHI NA JAMII
from TANAPA PODCAST
Episodi hii inaangazia - Chimbuko la Elimu ya Ujirani Mwema- Uanzishwaji na malengo yake kwa jamii zinazoishi kuzunguka Hifadhi za Taifa- Faida zake na umuhimu wa ushiriki wa wananchi katika kuhifadhi rasilimali za Taifa kwa kizazi cha sasa na kijachoMgeni Mualikwa: Afisa Uhifadhi Mwandamizi Samwel Nassari, Kitengo cha Uhifadhi – TANAPA Makao Makuu.Host: Afisa Uhifadhi Daraja la Pili Happiness Sam, Idara ya Habari na Mawasiliano – TANAPA.Sikiliza kupitia:- Apple Podcasts- Amazon Music- YouTube Music- Spotify- Na majukwaa mengine zaidi ya 39 ya podcast duniani.Usikose maarifa, elimu na mjadala wenye manufaa kuhusu Uhifadhi na Ujirani Mwema.Stay tuned!TANAPA PODCAST, HIFADHI ZETU, SAUTI YETU#TANAPAPodcast #TANAPADigital #TANAPAUpdates #UjiraniMwema #Conservation
Embed this episode
Ready to play
SO2 EP 01: FAHAMU ELIMU YA UJIRANI MWEMA NA FAIDA ZAKE KATIKA UHIFADHI NA JAMII
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.