EPISODE · Aug 5, 2026 · 18 MIN
Subiri kwa Amani, Kisha Mpe Mungu Utukufu!
from Neno la Leo
🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunahitimisha simulizi ya Hana kupitia 1 Samweli 1:27–28. Baada ya kusubiri kwa imani na kupokea amani kabla ya jibu, Hana anashuhudia uaminifu wa Mungu na anarudi mbele zake kutimiza ahadi yake. Hakuliona jibu la maombi yake kama mafanikio yake binafsi bali kama zawadi kutoka kwa Mungu, hivyo akamrudishia Mungu kile alichokuwa amempa. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba kusubiri si kipindi cha kupoteza muda bali ni kipindi ambacho Mungu hutufundisha kumtumaini. Na anapojibu maombi yetu, tusiishie kufurahia baraka bali turudi kwake kwa moyo wa shukrani na kumtukuza. Je, tunamtafuta Mungu kwa ajili ya zawadi zake pekee au tuko tayari kumheshimu na kumwabudu hata baada ya kupokea tulichokiomba?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨
Embed this episode
Ready to play
Subiri kwa Amani, Kisha Mpe Mungu Utukufu!
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.