EPISODE · Apr 21, 2022 · 1H 17M
Swahili Sermon | Kanisa Lenye Jina Maarufu Licha Ya Kutokuwa Hai | Ufunuo 3:1-6 | Eric Abwao
from Trinity Baptist Church Donholm, Nairobi · host tbcnairobi
𝐎𝐧𝐲𝐨 𝐊𝐰𝐚 𝐊𝐚𝐧𝐢𝐬𝐚 𝐌𝐚𝐚𝐫𝐮𝐟𝐮 𝐋𝐢𝐬𝐢𝐥𝐨 𝐇𝐚𝐢. Ufunuo 3:1-6 1 “Kwa malaika wa Kanisa la Sardi andika hivi: ‘Haya ni maneno yake yeye aliye na zile Roho saba za Mungu na zile nyota saba. Nayajua matendo yako; na kwamba una sifa ya kuwa hai, na kumbe umekufa. 2 Amka! Imarisha kilichobakia kabla hakijaharibika kabisa, kwa maana nimeona kwamba kazi zako hazijakamilika mbele za Mungu wangu. 3 Kumbuka basi yale uliyoyapokea na kuyasikia, yatii na kutubu. Lakini usipoamka, nitakuja kama mwizi wala huta jua saa nitakayokujia. 4 Bado wako watu wachache huko Sardi ambao hawajachafua mavazi yao. Wao watatembea pamoja nami wakiwa wamevaa mavazi yao meupe kwa maana wanastahili. 5 Atakayeshinda atavikwa vazi jeupe kama wao, nami sitafuta jina lake katika kitabu cha uzima bali nitalikiri jina lake mbele ya Baba yangu na mbele za malaika wake. 6 Aliye na nia ya kusikia na asikie yale ambayo Roho anayaam bia makanisa.”’
Embed this episode
Ready to play
Swahili Sermon | Kanisa Lenye Jina Maarufu Licha Ya Kutokuwa Hai | Ufunuo 3:1-6 | Eric Abwao
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.