S01 EP08 - MAANDALIZI YA TWENZETU KILELENI 2025 NA CDF (Mst.) GEORGE WAITARA episode artwork

EPISODE · Oct 2, 2025 · 40 MIN

S01 EP08 - MAANDALIZI YA TWENZETU KILELENI 2025 NA CDF (Mst.) GEORGE WAITARA

from TANAPA PODCAST

Katika Episode hii tunaangaIa mazungumzo ya kuhusu Kampeni ya Twenzetu Kileleni 2015 inayofanyikaga Desemba 09 kila mwaka kukumbuka mashujaa wetu waliopigania uhuru wa Tanganyika ambapo kwa mwaka huo huo bendera ya Taifa ilipandishwa Mlima Kilimanjaro wenye kilele kirefu kuliko vyote Barani Afrika chenye urefu wa mita “5985 asl” kuangazia nuru ya Uhuru ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.Sikiliza TANAPA PODCAST Epsode 08 kwa habari za kweli na uhakika kuhusiana na historia ya Taifa letu, Uhifadhi na Utalii.Eneo: Dar es Salaam.Host: Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Catherine MbenaGuest: Mkuu wa Majeshi (Mstaafu) Jenerali George Marwa Waitara.

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Oct 2, 2025

Embed this episode

Ready to play

S01 EP08 - MAANDALIZI YA TWENZETU KILELENI 2025 NA CDF (Mst.) GEORGE WAITARA

0:00 40:22

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of TANAPA PODCAST?

This episode is 40 minutes long.

When was this TANAPA PODCAST episode published?

This episode was published on October 2, 2025.

Can I download this TANAPA PODCAST episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!