S01 EP15 - UHIFADHI NI JUKUMU LA KILA MMOJA  episode artwork

EPISODE · Nov 17, 2025 · 1H 2M

S01 EP15 - UHIFADHI NI JUKUMU LA KILA MMOJA

from TANAPA PODCAST

Episodi hii inakuletea uchambuzi wa kina kuhusu Uhifadhi kwa kuzingatia kuwa Uhifadhi wa wanyamapori ni zoezi la kujitolea kulinda na kuhifadhi maliasili kwa maslahi ya Taifa kwa kizazi hiki ma kijacho.Sikiliza Episodi ya 15 upate elimu kutoka kwa Mzee Ibrahimu Kasontola kutoka katika kijiji cha Lukoma wilayani Uvinza - Kigoma aliyejitolea kwa hali na mali kuhifadhi msitu katika eneo la makazi yake na kupelekea eneo hilo kuwa makazi ya kudumu ya Sokwemtu sanjari na kupanda migomba ambayo hutumika kama chakula pendwa cha wanyamapori hao ambao mara nyingi utawakuta katika makazi ya mzee huyo.Mwongoza Kipindi: Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Catherine Mbena.Wageni 1.⁠ ⁠Ibrahim Kasontola (Mzee anayewahifadhi Sokwemtu hao).2.⁠ ⁠Mwatano Omary (Mke wa Mzee Ibrahim Kasontola).3.⁠ ⁠⁠Afisa Uhifadhi Mwandamizi - Lameck Matungwa Kaimu Mkuu wa Hifadhi ya Taifa Milima MahaleUsikose kila Jumatatu kupitia Platform za TANAPA Podcast.TANAPA PODCAST, HIFADHI ZETU, SAUTI YETU.

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Nov 17, 2025

Embed this episode

Ready to play

S01 EP15 - UHIFADHI NI JUKUMU LA KILA MMOJA

0:00 1:02:33

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of TANAPA PODCAST?

This episode is 1 hour and 2 minutes long.

When was this TANAPA PODCAST episode published?

This episode was published on November 17, 2025.

Can I download this TANAPA PODCAST episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!