Uchovu wa Kiroho na Anguko la Samsoni. episode artwork

EPISODE · Jul 5, 2026 · 9 MIN

Uchovu wa Kiroho na Anguko la Samsoni.

from Neno la Leo

🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunaendelea na simulizi ya Samsoni kupitia Waamuzi 16:19–21. Baada ya kupuuza maonyo ya Mungu kwa muda mrefu, Samsoni aliamka akidhani kila kitu kiko sawa, bila kutambua kwamba uwepo wa Mungu ulikuwa umeondoka. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba hatari kubwa si kupoteza vipawa, mafanikio au nguvu, bali kupoteza ukaribu wetu na Mungu. Je, bado tunamtegemea Mungu kila siku, au tumeanza kuamini uwezo na uzoefu wetu wenyewe?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jul 5, 2026

Embed this episode

Ready to play

Uchovu wa Kiroho na Anguko la Samsoni.

0:00 9:43

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Neno la Leo?

This episode is 9 minutes long.

When was this Neno la Leo episode published?

This episode was published on July 5, 2026.

Can I download this Neno la Leo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!