Unamwabudu Mungu kwa Njia Gani? episode artwork

EPISODE · Jul 11, 2026 · 12 MIN

Unamwabudu Mungu kwa Njia Gani?

from Neno la Leo

🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunajifunza simulizi ya Mika kupitia Waamuzi 17:3 na 17:10, 12–13. Mika hakumkataa Mungu, bali alianza kumwabudu kwa njia aliyoichagua mwenyewe. Alitengeneza sanamu, akaajiri kuhani na akaamini kwamba hayo yangemletea baraka za Mungu. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba ibada ya kweli haijengwi juu ya mawazo, desturi au hisia zetu bali juu ya Neno la Mungu na utii kwake. Je, tunamwabudu Mungu kwa jinsi alivyojifunua katika Neno lake, au kwa jinsi sisi tunavyotaka awe?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jul 11, 2026

Embed this episode

Ready to play

Unamwabudu Mungu kwa Njia Gani?

0:00 12:07

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Neno la Leo?

This episode is 12 minutes long.

When was this Neno la Leo episode published?

This episode was published on July 11, 2026.

Can I download this Neno la Leo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!