Unaweza Kufanikiwa Bila Njia za Mkato episode artwork

EPISODE · Jul 27, 2026 · 20 MIN

Unaweza Kufanikiwa Bila Njia za Mkato

from Neno la Leo

🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 3:18. Naomi anamwambia Ruthu asubiri kwa utulivu, kwa sababu Boazi hatapumzika mpaka amalize jambo hilo kwa njia iliyo sahihi. Ingawa alikuwa na nia njema ya kumkomboa Ruthu, Boazi hakuchagua njia za mkato wala hakupuuza utaratibu uliowekwa. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba mafanikio ya kudumu hayajengwi kwa haraka wala kwa kuvunja kanuni za Mungu, bali kwa uaminifu, subira na kufanya yaliyo haki. Je, tunayo subira ya kusubiri Mungu atimize ahadi zake kwa njia yake, au tunatafuta mafanikio ya haraka yanayotupoteza kutoka kwenye mapenzi yake?Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jul 27, 2026

Embed this episode

Ready to play

Unaweza Kufanikiwa Bila Njia za Mkato

0:00 20:53

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Neno la Leo?

This episode is 20 minutes long.

When was this Neno la Leo episode published?

This episode was published on July 27, 2026.

Can I download this Neno la Leo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!